Skip to main content
Skip to main content

Kapu la Biashara | Programu ya kuthibitisha uhalisia wa mbolea yazinduliwa

  • | KBC Video
    127 views
    Duration: 3:11
    Wakulima humu nchini wataweza kuthibitisha uhalisia na ubora wa mbolea wanayonunua kufuatia uzinduzi wa programu ya kidijitali ya kubainisha bidhaa hizo. Mwenyekiti wa chama cha wauzaji mbolea humu nchini Bimal Kantaria amesema programnu hiyo iliyopewa jina AgriTrace na ambayo ilibuniwa kwa ushirikiano na shirikisho la Green Revolution in Africa, itawawezesha wakulima kupokea taarifa kamili kuhusu mbolea wanayonunua baada ya kutuma jumbe fupi za rununu kwa nambari iliyowekwa. Taarifa hii na nyingine ni kwenye makala ya Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive