15 Jan 2026 1:13 pm | Citizen TV 248 views Duration: 7:26 katibu wa elimu profesa julius bitok anakagua jinsi wanafunzi wa gredi ya kumi wanapokelewa katika shule mbalimbali hapa jijini nairobi. Kwa sasa yuko katika shule ya wavulana ya alliance.