Skip to main content
Skip to main content

Katibu wa Idara ya Mazingira Festus Ng’eno anusurika ajali Kericho

  • | KBC Video
    7,082 views
    Duration: 2:16
    Katibu wa idara ya mazingira humu nchini Festus Ng’eno hii leo alinusurika kifo kwa tundu la sindano katika ajali ya helikopta kwenye Klabu cha gofu cha Kericho. Ng’eno pamoja na abiria wengine wanne pamoja na rubani walilazimika kuruka kutoka kwenye helikopta hiyo ya shirika la huduma za misitu humu nchini ambayo ilianguka kwenye uwanja huo wa gofu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive