10 Dec 2025 1:12 pm | Citizen TV 162 views Duration: 1:33 Serikali ya kaunti ya Homa Bay imefungua rasmi kituo cha kuwahifadhi waathiriwa wa dhuluma za kijinsia maarufu, Ndhiwa Safehouse , kwa ushirikiano na Shirika la SHOFCO.