Kilabu ya Rotary katika eneo laSuna, kaunti ya Migori kimetoa msaada wa vitabu zaidi ya 40,000 vya thamani ya shilingi milioni 52 kwa maktaba ya kaunti hiyo kwa madhumuni ya kukuza mtindo wa kusoma vitabu miongoni mwa wanafunzi na jamii kwa jumla.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive