Kaunti ya Murang’a na wizara ya afya zimetofautiana kuhusu madai ya kufungwa kwa mfumo wa kidijitali wa huduma za afya wa serikali ya kaunti hiyo. Gavana Irungu Kang’ata alidai serikali ya kitaifa inatatiza huduma za afya kwa kufunga mfumo wa Afya.KE. Hata hivyo, waziri wa afya Aden Duale alipuuzilia mbali madai hayo akisema wizara yake haimiliki, kusimamia wala kuwa na mamlaka ya kudhibiti mfumo huo alioutaja kuwa mpango wa kibinafsi kati ya serikali ya kaunti ya Murang’a na mtayarishaji wake.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive