Skip to main content
Skip to main content

Kazi ni Kazi: Msafishaji wa magari

  • | KBC Video
    327 views
    Duration: 5:34
    Kabla hata jua halijaanza kuchomoza na kupasha moto lami kando ya barabara zenye shughuli nyingi za Ruiru, Dennis Wanjama tayari yuko kazini. Akiwa na ndoo ya maji, sabuni, sifongo, na nia thabiti ya kujitafutia riziki, Dennis anadhihirisha msimamo wa vijana wa Kenya wanaokataa kukaa kitako kusubiria msaada. Kijana huyo anafanya Kazi ya kuosha magari Ili kujipatia riziki.Fredrick Muoki anamwangazia kwenye makala ya Kazi ni Kazi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive