11 Nov 2025 11:15 am | K24 Video 5,525 views Duration: 57s “Wale mimi nashindana nao hawana mpango, hawana sera, hawana agenda. Hata wakija hapa, mambo ya stima hawajui. Kazi yao ni kusema “one term” na hawana mpango.” Ruto