10 Aug 2026 10:40 am | Citizen TV 405 views Duration: 2:47 Chama cha washauri wa kisaikolojia nchini (KCPA) tawi la Pwani kinazitaka serikali ya kitaifa na za kaunti kuajiri wanasaikolojia zaidi ili kukabiliana na ongezeko la visa vya changamoto za afya ya akili nchini.