- 1,614 viewsDuration: 1:31Kenya Kwanza na ODM zimekubaliana kuunda muungano wa kisiasa wa kuwania kwa pamoja uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Katika maafikiano yaliyofikiwa kwenye mkutano wa pamoja uliofanyika Naivasha, Rais William Ruto amesema kila upande utateua watu watano watakaohudumu katika kamati itakayoshughulikia manifesto ya muungano huo. Kinara wa ODM, Oburu Oginga, amesema muungano huo mpya una nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.