- 896 viewsDuration: 2:49Viongozi wa Kenya Kwanza wameendeleza kampeni za kumpigia debe Rais William Ruto kuchaguliwa tena ili akamilishe miradi ya maendeleo. Wakizungumza katika maeneo tofauti ya kaunti za Nakuru, Nairobi na Samburu, viongozi hao wamesema Wakenya wanapaswa kujihadhari na viongozi wanaoendeleza siasa za migawanyiko. Aidha, wametumia fursa ya hafla za leo kukashifu mienendo ya kiongozi wa chama cha PPK, Ndindi Nyoro.