- 620 viewsDuration: 2:52Viongozi wa Kenya Kwanza wanawarai viongozi wa upinzani kutoingiza siasa kwenye mikakati ya serikali ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa ebola nchini. Wakizungumza katika eneobunge la Teso North, viongozi hao wamesema kuwa ni muhimu kuwe na vituo vya karantini katika kaunti zilizoko kwenye hatari ili kudhibiti kusambaa kwa ebola.