- 1,010 viewsDuration: 3:04Muungano wa viongozi akina mama bungeni wa(KEWOPA) yapendekeza kurejeshwa kwa adhabu ya viboko shuleni kama njia ya kukabiliana na utovu wa nidhamu na ongezeko la visa vya moto katika taasisi za elimu. Pendekezo hilo linajiri huku zaidi ya shule kumi zikifungwa kufuatia misururu ya migomo na matukio ya vurugu yanayoendelea kushuhudiwa katika baadhi ya shule nchini.