Skip to main content
Skip to main content

Kijana anayetuhumiwa kwa kuiba mamilioni ya pesa ameachiliwa kwa dhamana.

  • | KBC Video
    17,888 views
    Duration: 2:52
    Mshukiwa wa ulaghai mtandaoni anayetuhumiwa kwa udukuzi wa kampuni moja ya kutuma pesa na kuiba mamilioni ya pesa ameachiliwa kwa dhamana. Mahakama ya Milimani ilimwachilia Seth Mwabe Okwanyo mwenye miaka 26 kwa dhamana ya shilingi milioni moja na kutoa maagizo makali ya kuzingatiwa ikiwa ni pamoja na kuripoti kwa afisa wa upelelezi kila wiki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive