Skip to main content
Skip to main content

Kijana wa miaka 16 adaiwa kuuawa na rafikiye Kakamega

  • | KBC Video
    247 views
    Duration: 1:55
    Familia moja huko Likuyani katika kaunti ya Kakamega inalilia haki kwa mpendwa wao aliyeuawa kikatili. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 16 na ambaye alikuwa mwanafunzi wa gredi ya tisa aliuawa kikatili na rafikiye baada ya kutofautiana wakati wa mkesha wa ukumbusho katika kijiji cha Lukusi Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive