- 9,717 viewsDuration: 1:20Kikosi cha Linda Mwananchi, kikiongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, chaendelea na ziara yake katika eneo la Magharibi, mara hii kikizuru Kaunti ya Busia.Kikosi hicho chazuru Bumala, Butula kisha baadaye Nambale huku kikisisitiza umuhimu wa kuunganisha vyama vya upinzani katika azma yao ya kumng’atua Rais William Ruto madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.