Skip to main content
Skip to main content

Kikosi cha ODM chafanya kampeini za kombe Magarini

  • | Citizen TV
    3,060 views
    Duration: 2:28
    Kikosi cha ODM Pwani kinachoongozwa na Waziri wa Madini Ali Hassan Joho kinaendelea na kampeni eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi ili kupigia debe mgombeaji wa ODM Magarini Kombe Harrison Garama kuchaguliwa tena.