3 Dec 2025 8:11 pm | Citizen TV 456 views Duration: 2:12 Timu ya taifa ya mchezo wa Tchoukball inafanya maandalizi ya mwisho tayari kupeperusha bendera ya kenya kwenye mchuano wa kimataifa huko geneva uswizi mwezi huu. Luqman mahmoud na taarifa kamili.