7 Aug 2026 1:38 pm | Citizen TV 679 views Duration: 1:32 Kunara wa chama cha United Green Movement UGM David Maraga asema mazungumzo na viongozi wengine wa upinzani kuhusu kuungana kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027 yaendelea vyema.