Skip to main content
Skip to main content

Kinara wa PLP Martha Karua asema bajeti inafaa kumfaa mkenya

  • | Citizen TV
    404 views
    Duration: 1:13
    Kinara wa chama cha PLP Martha Karua aishutumu serikali kwa kupuuza hali ngumu ya maisha na changamoto za wakenya katika makadirio ya bajeti ya kitaifa yatarajiwayo kuwasilishwa siku ya Alhamisi. Karua aonya kuwa pengo linalozidi kupanuka kati ya matumizi yakadiriwayo na mapato yanayolengwa kukusanywa kutailazimu hazina ya kitaifa kukopa zaidi. Alikuwa akizungumza Katika Makao makuu ya chama hicho Jijini Nairobi