Skip to main content
Skip to main content

Kindiki amkosoa Gachagua kwa siasa za kuogofya, awataka Wakenya kuungana

  • | Citizen TV
    934 views
    Duration: 2:16
    Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amemkosoa mtangulizi wake na kinara wa DCP Rigathi Gachagua akisema anaendeleza siasa za kuogofya kuhubiri ajenda yake. Kindiki aliyezungumza wakati wa ibada Kaunti ya Murang'a pia amewataka wakazi kujitenga na wanasiasa wanaowagawa kuhusu mwelekeo wao kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.