Skip to main content
Skip to main content

Kindiki awasuta viongozi wanaofadhili na kueneza ghasia za kisiasa

  • | KBC Video
    331 views
    Duration: 2:59
    Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki ametoa onyo kali kwa wale aliosema wanafadhili na kupanga ghasia za kisiasa, akisema wataadhibiwa vikali. Akiongea mjini Othaya katika kaunti ya Nyeri, Prof. Kindiki alitoa wito wa amani kwenye mashindano ya kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, akisisitiza kwamba tofauti za kisiasa hazipaswi kupewa nafasi ya kutishia amani na mshikamano wa kitaifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive