Skip to main content
Skip to main content

Kindiki: Uchaguzi wa 2027 utakuwa kinyang'anyiro baina ya maendeleo na uvumi

  • | KBC Video
    559 views
    Duration: 3:15
    Naibu rais profesa Kithure Kindiki ameutaja uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 kuwa kinyang'anyiro baina ya maendeleo na uvumi wa kisiasa, huku akiwasihi wapigaji kura katika kaunti ya Kirinyaga kutathmini viongozi kulingana na rekodi zao za utendaji kazi, na kupinga vurugu za kiuchaguzi. Akizungumza wakati wa mikutano ya hadhara katika maeneo ya Ndia na Gichugu leo, Profesa Kindiki alisema uchaguzi huo utakuwa ni ushindani kati ya maono na sera, na upande mwengine matusi na maneno matupu ya kisiasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive