Aliyekuwa Gavana wa Meru, Kiraitu Murungi, amewarai Wakenya kutafakari upya maana ya demokrasia, akidai kuwa misingi ya kidemokrasia ya nchi hii imekuwa ikidorora na nafasi yake kutwaliwa na siasa za hongo . Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitabu chake kipya, Illusions of Democracy Kiraitu alionya kuwa mapambano yaliyozalisha mfumo wa vyama vingi na Katiba ya 2010 yako katika hatari ya kuhujumiwa na utamaduni wa kisiasa uliojikita kwenye misingi ya kibiashara na fedha.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive