Skip to main content
Skip to main content

KMPDC yachunguza madai ya mama kukataliwa huduma wakati wa kujifungua

  • | Citizen TV
    3,872 views
    Duration: 2:37
    Baraza la madaktari nchini KMPDC linachunguza tukio ambapo mwanamke alilazimika kujifungua mwenyewe, baada ya hospitali iliyokuwa karibu naye kukataa kumhudumia. KMPDC sasa ikisema hospitali hiyo huenda ikafungwa na uchunguzi unaendelea. Mama huyo na mwanawe wako salama kwa sasa, kama Ode Francis anavyotuaarifu.