- 543 viewsDuration: 1:27Chama cha Walimu Nchini, KNUT tawi la Trans Nzoia, kimekosoa vikali hatua ya tume ya uajiri wa Walimu TSC ya kuhamisha walimu na kuwapeleka kufundisha maeneo yaliyo mbali na makazi yao, wakisema kuwa hatua hiyo inakiuka sera ya iliyoanza kutekelezwa mwaka wa 2018, ambayo inaelekeza walimu kufundisha karibu na maeneo wanakotoka ili kuboresha ufanisi kazini.