Skip to main content
Skip to main content

'Kososo Wa Baya' ashtakiwa kuteketeza nyumba na mali inayokisiwa kugharimu zaidi ya nusu bilioni

  • | NTV Video
    2,333 views
    Duration: 1:16
    Jamaa mwenye uraia wa Kenya na Italia, anayejulikana kama Franco Esposito, au kwa jina la utani Kososo wa Baya, amefikishwa kizimbani kwa madai ya kuteketeza nyumba na mali inayokisiwa kugharimu zaidi ya nusu bilioni. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya