27 Nov 2025 11:00 am | K24 Video 3,836 views Duration: 1:17 ‘Kuna madai ya njama ya kuiba kura. Imetekelezwa kutumia IEBC, Polisi wa Kenya na njama ni kuanzisha fujo chini ya ulinzi wa polisi Malava.’ Eugene Wamalwa.