- 97,995 viewsDuration: 2:06Rais wa Marekani Donald Trump ameepuka tukio jingine la hatari baada ya mtu mwenye silaha kuvamia na kufyatua risasi katika hafla aliyokuwapo. Hili ni mara ya tatu kukoswakoswa kushambuliwa ndani ya kipindi kifupi. Je sababu haswa ni nini? @sammyawami anaelezea #bbcswahili #marekani #washington Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw