- 5,003 viewsDuration: 2:50Seneta wa Nairobi aliye pia kiongozi wa chama cha Equitable Party Edwin Sifuna pamoja na washirika wake wa upinzani wametoa wito kwa huduma ya kitaifa ya polisi kufanya kazi kwa uhuru bila kuegemea upande wowote wa kisiasa. Sifuna aliyezungumza wakati wa mazishi ya aliyekuwa kamanda wa kitengo cha ulinzi wa viongozi muhimu marehemu Lazarus Opicho katika Kaunti ya Trans Nzoia, amesisitiza kuwa maafisa wa polisi hawapaswi kuzuia uhuru wa watu wa kujieleza wala wa kutangamana. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na naibu inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat na Gilbert Masengeli. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive