- 2,694 viewsDuration: 2:47Wanasiasa wa mrengo wa Linda Mwananchi wameendelea kukosoa mpango wa Rais William Ruto wa Ruwaza ya mwaka wa 2060 unaotarajiwa kuzinduliwa Jumatano ijayo, wakisema hana uwezo wa kuwapangia Wakenya miaka 30 ijayo. Wakizungumza Kaunti ya Kakamega, viongozi hao waliendelea kuwaomba wakazi wa eneo hilo kuunga mkono azma ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ya kuwa rais katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, kama Emmanuel Too anavyorifu.