Skip to main content
Skip to main content

Linda Mwananchi yaingia Kakamega, Sifuna amtaka Oparanya kujiunga

  • | Citizen TV
    6,479 views
    Duration: 2:31
    Wanasiasa wa Linda Mwananchi wamepeleka kampeni za uchaguzi mkuu ujao Kaunti ya Kakamega, ambapo Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amemtaka Waziri wa Vyama vya Ushirika Wycliffe Oparanya kujiunga na harakati hiyo. Sifuna amesema ana imani vyama vya upinzani vitamng'oa Rais William Ruto mamlakani katika uchaguzi wa mwaka ujao.