Skip to main content
Skip to main content

Linda Mwananchi yatishia maandamano kuhusu usajili wa chama

  • | Citizen TV
    15,507 views
    Duration: 2:30
    Kundi la Linda Mwananchi limetishia kuandamana kuanzia Jumatatu katika afisi za Msajili wa Vyama vya Kisiasa endapo halitasajiliwa kama chama cha kisiasa. Kundi hilo linadai kuna njama za kulinyima jina la chama hicho. Haya yanajiri huku kinara wake, Seneta Edwin Sifuna, akisisitiza azma yake ya kuwania urais licha ya wanaodai hana uzoefu.