- 257 viewsDuration: 1:31Maafisa wa polisi katika eneo la Gatundu Kusini wamemtia nguvuni mshukiwa mmoja na kunasa lita 8,500 za kemikali ya ethanol zilizokuwa zikisafirishwa na lori moja zikiwa zimefichwa chini ya magunia ya mahindi na vumbi la mbao katika eneo la Wamwangi. Shehena hiyo iliyokuwa imepakiwa kwenye mitungi 34 ya lita 250 kila moja ilinaswa wakati wa operesheni ya kukabiliana na pombe haramu na mihadarati. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive