Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa DCI watoa taarifa kuhusu mwelekeo wa uchunguzi wa mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso

  • | Citizen TV
    23,364 views
    Duration: 17:45
    Maafisa wa DCI watoa taarifa kuhusu mwelekeo wa uchunguzi wa mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso, daktari wa akili alyeipigwa risasi akiwa kwenye teksi katika mtaa wa Upperhill jijini Nairobi. Watu wanne tayari wazuiliwa na polisi wakiwemo aliyekuwa mke wa kwanza wa mumewe marehemu, David Ndetei.