Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa KRA wanasa sigara feki katika bandarini Mombasa

  • | Citizen TV
    1,365 views
    Duration: 1:04
    Maafisa wa mamlaka ya ukusanyaji ushuri nchini KRA wamenasa shehena bandia ya sigara katika bandari ya Mombasa ambazo zilipangiwa kuingia kwenye soko la humu nchini.