13 Jan 2026 1:49 pm | Citizen TV 268 views Duration: 1:20 Maafisa wa Mamlaka ya kupambana na mihadarati na dawa za kulevya nchini NACADA wamenasa pombe haramu yenye thamani ya shilingi milioni 13 katika soko la Kabaa kaunti ya Machakos .