21 Nov 2025 1:38 pm | Citizen TV 815 views Duration: 2:02 Wasiwasi ulitanda kwa muda katika hospitali ya Rufaa ya Garissa wakati shirika la msalaba mwekundu pamoja na mashirika mengine kuandaa zoezi la kutathmini viwango vya matayarisho ya kukabiliana na majanga wakati yanapotokea.