21 Oct 2026 1:49 pm | Citizen TV 881 views Duration: 1:41 Maafisa wa mashinani wa UDA kutoka Kaunti ya Vihiga wamepongeza miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na serikali ya Kenya Kwanza na kuukosoa upinzani kwa kufanya siasa kila jambo.