- 196 viewsDuration: 1:51Wito umetolewa kwa maafisa wa usalama kuimarisha oparesheni za msako dhidi ya pombe haramu na biashara ya dawa za kulevya zinazofanywa karibu na taasisi za elimu. Wito huo unatolewa na viongozi na washikadau katika sekta ya elimu, huku ikibainika kuwa vitendo hivyo vinaendelea kuwa tishio kubwa kwa ustawi wa wanafunzi, hasa katika eneo la Kenol, kaunti ya Murang’a.