Skip to main content
Skip to main content

Mabalozi wa ulaya na Marekani wamsuta Rais Suluhu

  • | Citizen TV
    24,143 views
    Duration: 3:23
    Mabalozi wa mataifa 17 wa bara ulaya na Marekani wanaishinikiza serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi huru kuhusiana na mauaji ya raia wakati wa machafuko ya uchaguzi nchini humo. mabalozi hao wanataka mashirika ya kijamii na kidini , pamoja na wanasiasa kutoka pande zote kujumuishwa kwenye kamati iliyoundwa ili kufanya uchunguzi huru na wa haki na kubaini ukweli.