- 480 viewsDuration: 3:35Utata umeendelea kuzingira madai kwamba vikosi vya kiusalama vya Jubaland viko kwenye kaunti ya Mandera huku seneta wa eneo hilo Ali Roba, akionya kwamba uhuru wa Kenya umo hatarini. Siku moja baada ya waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen kuahidi kuchunguza madai hayo Seneta Ali Roba ameonya kuhusu kutanda kwa taharuki akitoa wito wa hatua za haraka kuwaondoa wageni hao ambao anasema wanatishia maisha na riziki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive