13 Jan 2026 1:58 pm | Citizen TV 256 views Duration: 1:13 Katibu katika Wizara ya Maji, Ephantus Kimotho, amesisitiza umuhimu wa ujenzi wa vidimbwi vikubwa vya maji katika eneo la Kajiado Magharibi kama njia ya kukabiliana na ukame.