16 Jan 2026 7:22 pm | Citizen TV 469 views Duration: 3:01 Maelfu ya wanafunzi bado hawajaripoti katika shule za sekondari ya juu kutokana na ukosefu wa fedha. Baadhi ya wazazi wameelezea changamoto walizopitia kupata karo, na hata kukosa ufadhili kutoka kwa asasi mbali mbali