Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Baringo, Julius Kiragu, akiandamana na maafisa wa polisi, walitoa msaada wa vyakula na bidhaa mbalimbali kwa Shule ya watu walio na ulemavu wa macho na masikio ya Kabarnet katika eneo la Baringo ya kati. Na katika Kaunti ya Kiambu, wakazi wa eneobunge la Lari wanaotarajiwa kuathiriwa na upanuzi wa barabara ya Rironi hadi Mau Summit yenye urefu wa kilomita 175, walihudhuria kikao cha ushirikishi wa umma kilichoandaliwa na maafisa wa halmashauri ya Barabara Kuu Nchini humu nchini(KeNHA)...Kwa taarifa hizi na nyingine huu hapa mseto wetu wa habari kutoka magatuzini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive