- 259 viewsDuration: 4:56Serikali ya kitaifa ikishirikiana na Benki ya Dunia na Serikali ya Canada inatarajia kuanzisha mpango mpya kuwawezesha vijana kote Kenya kupata ujuzi na nafasi za ajira. Katibu katika wizara ya leba Shadrack Mwadime, akihutubia hadhara katika kaunti ndogo ya Voi,alisema mpango huo umeanzishwa kuboresha maslahi ya vijana . Taarifa kamili kwenye dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive