Skip to main content
Skip to main content

Mahakama kuu imesimamisha kwa muda ujenzi wa reli ya usafiri wa umma ya Riruta–Lenana–Ngong

  • | KBC Video
    1,175 views
    Duration: 2:14
    Mahakama kuu imesimamisha kwa muda ujenzi wa reli ya usafiri wa umma ya Riruta–Lenana–Ngong unaogharimu shilingi Bilioni-11. Mahakama hiyo pia imesitisha matumizi zaidi ya hazina ya ushuru wa ustawi wa reli kwa mradi huo, kusubiri kusikizwa kwa kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia Okiya Omtata na wengine. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive