Skip to main content
Skip to main content

Mahakama ya Malindi kubaini kuwa uchaguzi mkuu wafaa kufanyika tarehe 11 mwezi Agosti mwaka wa 2026

  • | Citizen TV
    5,880 views
    Duration: 1:19
    Hali ya mkanganyiko yaibuka baada ya mahakama ya Malindi kubaini kuwa uchaguzi mkuu wafaa kufanyika Jumanne tarehe 11 mwezi Agosti mwaka wa 2026, na wala sio mwaka wa 2027.