- 865 viewsDuration: 3:12Mahakama kuu mjini Nakuru yarejelea kesi ya mvuvi Brian Odhiambo aliyetoweka baada ya kudaiwa kukamatwa na maafisa wa shirika la huduma kwa wanyamapori huko Nakuru. Katika kikao cha Jumatatu, afisa mmoja kati ya sita ambao watajitetea mbele ya mahakama hiyo akifichua kwamba mkubwa wake ndiye apaswa kuulizwa maswali kuhusu aliko kijana huyo kwani wao walikuwa wanachukua amri.