- 7,266 viewsDuration: 2:12Mahakama kuu yadhibitisha kutimuliwa ofisini kwa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua kwenye uamuzi uliosomwa kwa zaidi ya saa tisa. Hata hivyo, majaji Eric Ogola, Antony Mrima na Frida Mugambi waamua kuwa gachagua alipwe fidia ya shilingi milioni 50 na bunge la seneti kwa kuwa halikumpa nafasi ya kujitetea kama inavyohitajika kikatiba.